Ijumaa, 16 Desemba 2016

Mr nice azushiwa kifo tena

Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii.
Mtandao mmoja wa kijamii uliandika taarifa za uongo kwamba muimbaji huyo amefariki akiwa nchini Tanzania.
Mr Nice ambaye yupo nchini Kenya amesema alishangaa kuona watu wakimpigiwa simu kwa nyingi na kuulizwa kuhusu afya yake na alivyofuatilia akagundua kuna mtandao umeandika taarifa za uongo kwamba amefariki.
Kupitia facebook, Mr Nice aliamua kuandika taarifa hii:
East africa vibes nawashukuruni sana kwa kunizushia kifo sina la kuwajibu ,,ila mungu awalipe kadri ya vile mnavyostaili kwa hiki mlichonizushia leo ….mungu ni wetu sote na hasikilizi amri za binadamu so atakaponihitaji ataniita kwa mapenzi yake but si nyie east african vibes mnaoweza kuniua wala yeyote yule chini ya hili jua …kama nyie hamuioni thamani yangu hilo ni juu yenu kwani huku niliko mimi ni kama lulu na maisha yanaendelea tena kwa kiwango cha juu kabisa ..hii si mara ya kwanza kunizushia kifo na mambo mengine ya ajabu ajabu ila all in all mi nipo na bado mtaniona sana nikiendelea kuwepo ….im total dissapointed kwakweli …mungu awape stahiki yenu ..THANKS SANA EATV 13/12/2016
Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,
Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
Share on Whatsapp
Add a comment
3 comments
RELATED ITEMS BONGO KENYA
Lady Jaydee na Spicy wathibitisha kuwa wapenzi, waeleza walivyokutana
Miss Tanzania Diana Edward akiwaambisha mamiss wengine wimbo mpya wa Darassa
Nay wa Mitego - Sijiwezi (New 2016)
Fredrick 'Skywalker' Bundala akielezea ujio wa vitabu vyake vitatu
Davido akiimba Number One Remix nchini Ufaransa
Young Dee aelezea furaha ya kupata mtoto
Rais Magufuli akutana na Dangote Ikulu Dar es Salaam
Ommy Dimpoz afunguka kisa cha kukosana na Diamond Platnumz
Click here for more videos...
Home Privacy Policy Search Contact

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni