R ES SALAAM
AZAM FC imemsajili kiungo mkabaji Stephan Kingue Mpondo kutoka Cameroon kuchukua nafasi ya Jean Baptiste Mugiraneza wa Rwanda anayeondoka baada ya misimu miwili ya kuitumikia timu hiyo.
Pamoja na Mpondo, mabingwa hao wa Afrika Mashariki na Kati, wamemsajili beki wa kati Mghana Yakubu Mohammed, kiungo mkabaji Stephan Kingue Mpondo na winga Joseph Mahundi.
Zoezi hilo la kuingiana mikataba limehudhuriwa na baadhi ya viongozi wakuu wa timu wakiwemo Ofisa Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba, Meneja Mkuu, Abdul Mohammed, Kocha Mkuu Zeben Hernandez, Meneja wa timu, Phillip Alando.
Wakati Mohammed, 20, amesaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Aduana Stars ya Ghana, utakaomuweka kwenye viunga vya Azam Complex hadi Desemba 14, 2019 akiziba nafasi ya Pascal Wawa, huku Mpondo anayetokea Coton Sports ya Cameroon, kwa upande wake akisaini mwaka mmoja #habarihotz na dicksondix
Alhamisi, 15 Desemba 2016
Azam yasajili mashine ya cameroon
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni